15 Ole wenu Waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnazunguka katika bahari na nchi kavu ili kumfanya mtu mmoja kuwa mwongofu; na akiisha kufanyika, mnamfanya kuwa mwana wa Jehanamu mara mbili zaidi kuliko ninyi wenyewe.
33 Mt 3:7;12:34;Lk 3:7Enyi nyoka, wana wa majoka, mtaikimbiaje hukumu ya Jehanamu?