Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 24

Kuharibiwa kwa hekalu kwatabiriwa

1 Mk 13:1-37;Lk 21:5-36Yesu akaenda zake, akatoka hekaluni; wanafunzi wake wakamwendea ili kumwonesha majengo ya hekalu. 2 Lk 19:44Naye akajibu akawaambia, Hamyaoni haya yote? Amin, nawaambieni, Halitasalia hapa jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também