11 Mt 7:15;1 Yoh 4:1Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.
Haja ya kuwa waangalifu
36 1 The 5:1,2Lakini kuhusu siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake.
11 Mt 7:15;1 Yoh 4:1Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.
36 1 The 5:1,2Lakini kuhusu siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake.
11 Watatokea manabii wengi wa uongo, nao watawadanganya watu wengi.
36 "Kwa habari ya siku ile na saa, hakuna ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba24:36 Jina Baba linaonesha uhusiano maalum wa Isa na Mwenyezi Mungu. Kwa mwanadamu, Mwenyezi Mungu ni Baba kupitia uhusiano unaopatikana katika kumtumaini Isa Al-Masihi. peke yake.
11 Watatokea manabii wengi wa uongo, nao watawadanganya watu wengi.
36 "Kwa habari ya siku ile na saa, hakuna ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba peke yake.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.