Chukizo la Uharibifu
15 Dan 9:27;11:31;12:11Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu), 24 Mt 5:11;Kum 13:1-3;2 The 2:8,9Kwa maana watatokea Makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, ikiwezekana, hata walio wateule.