Pular para o conteúdo
Publicidade

Mateus 24

23 Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki. 24 Mt 5:11;Kum 13:1-3;2 The 2:8,9Kwa maana watatokea Makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, ikiwezekana, hata walio wateule. 25 Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.

Veja também