42 Mt 25:13Kesheni basi; kwa maana hamjui ni siku ipi atakayokuja Bwana wenu. 43 Lk 12:39-40Lakini fahamuni neno hili; kama mwenye nyumba angaliujua ule wakati mwizi atakaokuja, angalikesha, wala asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa. 44 Ufu 16:15Kwa sababu hiyo ninyi nanyi jiwekeni tayari; kwa kuwa katika saa msiyotazamia Mwana wa Adamu yuaja.
Publicidade