Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 24

Mtumwa mwaminifu au asiye mwaminifu

45 Ni nani basi yule mtumwa mwaminifu mwenye akili, ambaye bwana wake alimweka juu ya nyumba yake, awape watu chakula kwa wakati wake? 46 Heri mtumwa yule, ambaye bwana wake ajapo atamkuta akifanya hivyo. 47 Mt 25:21,23Amin, nawaambieni, atamweka juu ya vitu vyake vyote. 48 Mhu 8:11Lakini mtumwa yule mbaya akisema moyoni mwake, Bwana wangu anakawia; 49 akaanza kuwapiga watumwa wenzake, na kula na kunywa pamoja na walevi; 50 bwana wake mtumwa huyo atakuja siku asiyotazamia, na saa asiyojua, 51 Mt 8:12atamkata vipande viwili, na kumwekea fungu lake pamoja na wanafiki; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também