Pular para o conteúdo
Publicidade

Mateus 24

Mateso yatabiriwa

9 Mt 10:17,22;Yn 16:2Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu. 10 Dan 11:41Ndipo wengi watakapojikwaa, nao watasalitiana, na kuchukiana. 11 Mt 7:15;1 Yoh 4:1Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.

Veja também