Hukumu kwa mataifa
31 Mt 16:27;19:28;Zek 14:5;Ufu 20:11-13Hapo atakapokuja Mwana wa Adamu katika utukufu wake, na malaika watakatifu wote pamoja naye, ndipo atakapoketi katika kiti cha utukufu wake;