Publicidade

Mateus 25

Hukumu kwa mataifa

31 Mt 16:27;19:28;Zek 14:5;Ufu 20:11-13Hapo atakapokuja Mwana wa Adamu katika utukufu wake, na malaika watakatifu wote pamoja naye, ndipo atakapoketi katika kiti cha utukufu wake; 32 Rum 14:10na mataifa yote yatakusanyika mbele zake; naye atawabagua kama vile mchungaji abaguavyo kondoo na mbuzi; 33 Eze 34:17atawaweka kondoo katika mkono wake wa kulia, na mbuzi mkono wake wa kushoto.

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-