Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 26

Kusalitiwa na kukamatwa kwa Yesu

47 Mk 14:43-50;Lk 22:47-53;Yn 18:3-12Basi alipokuwa katika kusema, tazama, Yuda, mmoja wa wale Kumi na Wawili akaja, na pamoja naye kundi kubwa wenye panga na marungu, wametoka kwa wakuu wa makuhani na wazee wa watu.

Veja também