Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 27:24

SRUV Swahili Revised Union Version

Pilato amtoa Yesu asulubiwe

24 Kum 21:6-9Basi Pilato alipoona ya kuwa hafai lolote, bali ghasia inazidi tu, akatwaa maji, akanawa mikono yake mbele ya mkutano, akasema, Mimi sina hatia katika damu ya mtu huyu mwenye haki; yaangalieni haya ninyi wenyewe.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    24 Pilato alipoona kwamba hawezi kufanya lolote, lakini badala yake ghasia zilikuwa zinaanza, akachukua maji, akanawa mikono yake mbele ya umati wa watu, akasema, "Sina hatia kwa damu ya mtu huyu, hili ni jukumu lenu!"

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    24 Pilato alipoona kwamba hawezi kufanya lolote, lakini badala yake ghasia zilikuwa zinaanza, akachukua maji, akanawa mikono yake mbele ya ule umati wa watu, akasema, "Sina hatia juu ya damu ya mtu huyu, hili ni jukumu lenu!"

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.