Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 27

33 Na walipofika mahali paitwapo Golgotha, yaani, Fuvu la Kichwa, 34 Zab 69:22wakampa kunywa divai iliyochanganyika na nyongo; lakini yeye alipoionja hakutaka kunywa. 35 Zab 22:19Walipokwisha kumsulubisha, waligawana mavazi yake, kwa kupiga kura; [ili litimie neno lililonenwa na nabii, Waligawa nguo zangu kati yao, na juu ya vazi langu walipiga kura.]

Veja também