Yesu awaita wanafunzi wa kwanza
18 Mk 1:16-20;Lk 5:1-11Naye alipokuwa akitembea kando ya bahari ya Galilaya, aliona ndugu wawili, Simoni aitwaye Petro, na Andrea nduguye, wakitupa jarife baharini; kwa maana walikuwa wavuvi.Yn 1:4019 Mt 13:47;Eze 47:10Akawaambia, Nifuateni, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu.