Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 4

Yesu awaita wanafunzi wa kwanza

18 Mk 1:16-20;Lk 5:1-11Naye alipokuwa akitembea kando ya bahari ya Galilaya, aliona ndugu wawili, Simoni aitwaye Petro, na Andrea nduguye, wakitupa jarife baharini; kwa maana walikuwa wavuvi.Yn 1:4019 Mt 13:47;Eze 47:10Akawaambia, Nifuateni, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu. 20 Mt 19:27Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata. 21 Alipoendelea, akaona ndugu wengine wawili, Yakobo wa Zebedayo, na Yohana nduguye, ambao walikuwa katika mashua pamoja na Zebedayo baba yao, wakizitengeneza nyavu zao; akawaita. 22 Mara wakaiacha mashua na baba yao, wakamfuata.

Veja também