23 Mk 11:25Basi ukileta sadaka yako madhabahuni, ukikumbuka ya kuwa ndugu yako ana neno juu yako, 24 iache sadaka yako mbele ya madhabahu, uende zako, upatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi uitoe sadaka yako.
37 2 Kor 1:17;Yak 5:12Bali maneno yenu yawe Ndiyo, ndiyo; Siyo, siyo; kwa kuwa yazidiyo hayo yatoka kwa yule mwovu.
44 Kut 23:4,5;Rum 12:14,20;Lk 23:34;Mdo 7:59lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,