25 Mt 6:14,15;18:35;Lk 12:58,59Patana na mshitaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije akakupeleka kwa hakimu, na hakimu akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani. 26 Amin, nakuambia, Hutoki humo kamwe hadi utakapolipa senti ya mwisho.
Publicidade