Kuhusu talaka
31 Kum 24:1-4;Mt 19:7;Mk 10:4Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka; 32 Mt 19:9;Mk 10:11-12;Lk 16:18;1 Kor 7:10-11lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.