Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 5

44 Kut 23:4,5;Rum 12:14,20;Lk 23:34;Mdo 7:59lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, 45 Efe 5:1ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também