Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 7

Mti na matunda yake

15 Mt 24:4,5,24;Mdo 20:29Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wakiwa wamevaa mavazi ya kondoo, lakini kwa ndani ni mbwamwitu wakali. 16 Gal 5:19-22;Yak 3:12Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?

Veja também