Kuhusu wanaojihadaa
21 Mt 21:29;Rum 2:13;Yak 1:22,25;2:14;1 Kor 12:3Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. 22 Yer 14:14;27:15;Lk 13:25-27;1 Kor 13:1,2Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? 23 Zab 6:9;Mt 13:41;25:41;2 Tim 2:19Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.