11 Mafarisayo walipoona, waliwaambia wanafunzi wake, Mbona mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?
Publicidade
Mathayo 9:11
SRUV Swahili Revised Union Version
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
11 Mafarisayo9:11 Kundi la kidini la Wayahudi; walifuata Torati kwa dhati, hasa maagizo kuhusu utakaso. Pia waliamini katika malaika, ufufuo wa wafu, na kuja kwa Masihi ambaye atarejesha ufalme wa Daudi na ukuu wa taifa la Israeli. walipoona mambo haya, wakawauliza wanafunzi wake, "Kwa nini Mwalimu wenu anakula na watoza ushuru na wenye dhambi?"
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
11 Mafarisayo walipoona mambo haya, wakawauliza wanafunzi wake, "Kwa nini Mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na ‘wenye dhambi’?"
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.