Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 9

23 Yesu alipofika nyumbani kwa yule kiongozi, aliona wapiga filimbi, na makutano wakifanya maombolezo, 24 Yn 11:11,14,25akawaambia, Ondokeni; kwa maana msichana hakufa, amelala tu. Wakamcheka sana. 25 Lakini makutano walipoondoshwa, aliingia, akamshika mkono; yule msichana akasimama.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também