Pular para o conteúdo
Publicidade

Mateus 9

Yesu amponya bubu

32 Na hao walipokuwa wakiondoka, tazama, walimletea mtu bubu mwenye pepo. 33 Na pepo alipotolewa, yule bubu alinena, makutano wakastaajabu, wakasema, Haijaonekana hivi katika Israeli wakati wowote.

Veja também