Mavuno ni mengi, wafanya kazi ni wachache
35 Mt 4:23;Mk 1:39;Lk 4:44Naye Yesu alikuwa akizunguka katika miji yote na vijiji, akifundisha katika masinagogi yao, na kuihubiri Habari Njema ya ufalme, na kuponya magonjwa yote na udhaifu wa kila aina.