10 Neh 10:37;Mal 3:8;1 Tim 5:17,18;Hes 35:2Tena nikagundua kwamba Walawi hawakupewa sehemu zao; Hivyo Walawi na waimbaji walioongoza ibada, kila mtu amerudi shambani mwake. 11 Mit 28:4;1 Sam 2:17Ndipo nikagombana na viongozi, nikasema, Mbona nyumba ya Mungu imeachwa? Kisha nikawakusanya, nikawaweka mahali pao. 12 Neh 12:44Ndipo Yuda wote walipoleta zaka za nafaka, na mvinyo, na mafuta, kwenye hazina.
Nehemia 13:10-12
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
10 Pia niligundua kuwa mafungu yaliyopangwa kupewa Walawi hawakuwa wamepewa, nao Walawi wote na waimbaji waliowajibika kwa huduma walikuwa wamerudi katika mashamba yao. 11 Basi niliwakemea maafisa na kuwauliza, "Kwa nini nyumba ya Mungu imepuuzwa?" Kisha niliwaita pamoja na kuwaweka kwenye nafasi zao.
12 Yuda wote walileta zaka za nafaka, divai mpya na mafuta kwenye ghala.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
10 Pia niligundua kuwa mafungu yaliyopangwa kupewa Walawi hawakuwa wamepewa, nao Walawi wote na waimbaji waliowajibika kwa huduma walikuwa wamerudi katika mashamba yao. 11 Basi niliwakemea maafisa na kuwauliza, "Kwa nini nyumba ya Mungu imepuuzwa?" Kisha niliwaita pamoja na kuwaweka kwenye nafasi zao.
12 Yuda wote walileta zaka za nafaka, divai mpya na mafuta kwenye ghala.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.