Uamuzi wa kuzijenga kuta
17 1 Sam 11:2;Neh 1:3;Zab 44:13;Yer 24:9;Omb 3:45,46;Eze 5:14Kisha nikawaambia, Mnaona hali hii dhaifu tuliyo nayo, jinsi Yerusalemu ulivyo hali ya ukiwa, na malango yake yalivyoteketezwa kwa moto; haya! Na tuujenge tena ukuta wa Yerusalemu, ili tusiwe shutumu tena.