4 1 Sam 1:13;Mit 3:6Ndipo mfalme akaniambia, Una haja gani unayotaka kuniomba? Basi nikamwomba Mungu wa mbinguni. 8 Ezr 10:6,9;Neh 3:7;Ezr 5:5;Mit 21:1;Isa 66:14;Dan 1:9;Mdo 7:10nipewe na waraka kwa Asafu, mwenye kuutunza msitu wa mfalme, ili anipe miti ya kutengenezea boriti kwa malango ya ngome ya hekalu, na kwa ukuta wa mji; na kwa nyumba ile nitakapoishi mimi. Naye mfalme akanipa, maana mkono mwema wa Mungu wangu ulikuwa juu yangu.
Nehemia 2:4,8
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
4 Mfalme akaniambia, "Je, haja yako ni nini?"
Ndipo nikaomba kwa Mungu wa mbinguni,
8 Naomba nipewe barua nipeleke kwa Asafu, mtunzaji wa msitu wa mfalme, ili anipe miti ya kutengeneza boriti kwa ajili ya malango ya ngome ya Hekalu, na ukuta wa mji, na makao yangu nitakayoishi." Kwa kuwa mkono wenye neema wa Mungu wangu ulikuwa juu yangu, mfalme akanijalia ombi langu.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
4 Mfalme akaniambia, "Je, haja yako ni gani?"
Ndipo nikaomba kwa Mungu wa mbinguni,
8 Naomba nipewe barua nipeleke kwa Asafu, mtunzaji wa msitu wa mfalme, ili anipe miti ya kutengeneza boriti kwa ajili ya malango ya ngome ya Hekalu, na ukuta wa mji, na makao yangu nitakapoishi." Kwa kuwa mkono wenye neema wa Mungu wangu ulikuwa juu yangu, mfalme akanijalia ombi langu.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.