Publicidade

Romanos 1

Nguvu ya Injili

16 Mk 8:38;Zab 119:46;1 Kor 1:18,24;Mdo 13:46Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Mgiriki pia. 17 Hab 2:4;Rum 3:21,22Kwa maana haki ya Mungu inadhihirishwa ndani yake, toka imani hadi imani; kama ilivyoandikwa, Mwenye haki ataishi kwa imani.

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-