Sifa za Mkristo
9 1 Pet 1:22;1 Tim 1:5;Amo 5:15Pendo na lisiwe na unafiki lichukieni lililo ovu, mkilishika lililo jema. 10 2 Pet 1:7;Flp 2:3Kwa pendo la udugu, mpendane ninyi kwa ninyi; kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu;