Pular para o conteúdo
Publicidade

Romanos 13

Kutii mamlaka

1 Tit 3:1;Yn 19:11;Mit 8:15Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu. 2 Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.

Veja também