Pular para o conteúdo
Publicidade

Romanos 14

11 Isa 45:23;49:18;Flp 2:10,11Kwa kuwa imeandikwa,

Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu;

Na kila ulimi utamkiri Mungu.

12 Gal 6:5Basi ni hivyo, kila mtu miongoni mwetu atatoa habari zake mwenyewe mbele za Mungu.

Veja também