3 Mdo 18:2,18,26Nisalimieni Priska na Akila, watenda kazi pamoja nami katika Kristo Yesu; 4 waliokuwa tayari hata kukatwa kichwa kwa ajili ya maisha yangu; ambao ninawashukuru, wala si mimi tu, ila na makanisa ya Mataifa yote pia; nisalimieni na kanisa lililomo katika nyumba yao.
Publicidade