3 Mdo 18:2,18,26Nisalimieni Priska na Akila, watenda kazi pamoja nami katika Kristo Yesu; 4 waliokuwa tayari hata kukatwa kichwa kwa ajili ya maisha yangu; ambao ninawashukuru, wala si mimi tu, ila na makanisa ya Mataifa yote pia; nisalimieni na kanisa lililomo katika nyumba yao. 5 1 Kor 16:15,19Nisalimieni Epaineto, mpenzi wangu, aliye malimbuko ya Asia kwa Kristo.
Warumi 16:3-5
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
3 Wasalimuni Prisila16:3 kwa Kiyunani ni Priska na Akila, watumishi wenzangu katika Al-Masihi Isa. 4 Wao walihatarisha maisha yao kwa ajili yangu; wala si mimi tu ninayewashukuru bali pia makundi yote ya waumini walio watu wa Mataifa.
5 Salimuni pia kundi la waumini wanaokutana nyumbani mwao.
Msalimuni rafiki yangu mpendwa Epaineto, aliyekuwa mtu wa kwanza kumwamini Al-Masihi huko jimbo la Asia.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
3 Wasalimuni Prisila16:3 Prisila kwa Kiyunani ni Priska, hivyo tafsiri nyingine zimemuita Priska. na Akila, watumishi wenzangu katika Kristo Yesu. 4 Wao walihatarisha maisha yao kwa ajili yangu; wala si mimi tu ninayewashukuru bali pia makanisa yote ya watu wa Mataifa.
5 Lisalimuni pia kanisa linalokutana nyumbani mwao.
Msalimuni rafiki yangu mpendwa Epaineto, aliyekuwa mtu wa kwanza kumwamini Kristo huko Asia.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.