Pular para o conteúdo
Publicidade

Warumi 3

Haki kupitia kwa imani

21 Mdo 10:43;Rum 1:17Lakini sasa, haki ya Mungu imedhihirika pasipo sheria; inashuhudiwa na Torati na Manabii; 22 Gal 2:16ni haki ya Mungu iliyo kwa njia ya imani katika Yesu Kristo kwa wote waaminio. Maana hakuna tofauti; 23 Rum 9:19;5:2kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu; 24 Rum 5:1;Efe 2:8wanahesabiwa haki bure kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Kristo Yesu;

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também