25 Law 16:12-15;Ebr 4:16;Efe 1:7ambaye Mungu amekwisha kumweka awe upatanisho3:25 Upatanisho hapa maana yake ni, Kiti cha rehema. kwa njia ya imani katika damu yake, ili aoneshe haki yake, kwa sababu ya kuziachilia katika ustahimili wa Mungu dhambi zote zilizotangulia kufanywa;