Kufa na kufufuka pamoja na Kristo
1 Rum 3:5-8Tuseme nini basi? Tudumu katika dhambi ili neema izidi kuwa nyingi? 2 1 Pet 4:1Hasha! Sisi tulioifia dhambi tutaishije tena katika dhambi?