20 Kwa maana mlipokuwa watumwa wa dhambi, mlikuwa huru mbali na haki. 22 1 Pet 1:9Lakini sasa mkiisha kuwekwa huru, na kuwa mbali na dhambi, na kufanywa watumwa wa Mungu, mnayo faida yenu, ndiyo kutakaswa, na mwisho wake ni uzima wa milele.