Pular para o conteúdo
Publicidade

Warumi 7

24 Ole wangu, maskini mimi! Ni nani atakayeniokoa na mwili huu wa mauti? 25 1 Kor 15:57Namshukuru Mungu, kwa Yesu Kristo Bwana wetu. Basi, kama ni hivyo, mimi mwenyewe kwa akili zangu naitumikia sheria ya Mungu, bali kwa mwili wangu sheria ya dhambi.

Veja também