Pular para o conteúdo
Publicidade

Romanos 8

14 Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu. 15 Gal 4:5-7Kwa kuwa hamkupokea tena roho wa utumwa iletayo hofu; bali mlipokea roho ya kufanywa wana, ambayo kwa hiyo twalia, Aba, yaani, Baba. Mk 14:36;Gal 4:5,6;2 Tim 1:7

Veja também