Pular para o conteúdo
Publicidade

Ruthu 1:14-17

SRUV Swahili Revised Union Version

14 Kum 4:4;10:20;Mit 17:17;18:24;Yn 6:66-69;Ebr 10:39Nao wakapaza sauti zao, wakalia tena, na Orpa akambusu mkwewe, lakini Ruthu akaambatana naye. 15 Yos 24:15-21;Amu 11:24Naye akasema, Tazama, dada yako amerudi kwa watu wake, na kwa mungu wake; basi urudi nawe ukamfuate dada yako. 16 Naye Ruthu akasema,

Usinisihi nikuache,

Nirudi nisifuatane nawe;

Maana wewe uendako nitakwenda,

Na wewe ukaapo nitakaa.

Watu wako watakuwa watu wangu,

Na Mungu wako atakuwa Mungu wangu;

17 1 Sam 3:17;25:25;2 Fal 6:31Pale utakapofia ndipo nitakufa nami,

Na papo hapo nitazikwa;

BWANA anitende vivyo hivyo na kuzidi,

Ila kufa tu kutatutenga wewe nami.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    14 Kisha wakalia tena kwa sauti. Orpa akambusu mama mkwe wake, akaenda zake, lakini Ruthu akaambatana naye.

    15 Naomi akamwambia, "Tazama, mwenzako anarejea kwa watu wake na kwa miungu yake. Rudi pamoja naye."

    16 Lakini Ruthu akajibu, "Usinisihi nikuache au niache kukufuata. Utakakoenda nami nitaenda, na wewe utakapoishi nitaishi. Watu wako watakuwa watu wangu, na Mungu wako atakuwa Mungu wangu. 17 Pale utakapofia nami nitafia hapo, na papo hapo nitazikwa. Mwenyezi Mungu na aniadhibu vikali, kama kitu kingine chochote kitanitenga nawe isipokuwa kifo."

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    14 Kisha wakalia tena kwa sauti. Orpa akambusu mama mkwe wake, akaenda zake, lakini Ruthu akaambatana naye.

    15 Naomi akamwambia, "Tazama, mwenzako anarejea kwa watu wake na kwa miungu yake. Rudi pamoja naye."

    16 Lakini Ruthu akajibu, "Usinisihi nikuache au niache kukufuata. Utakakokwenda nami nitakwenda, na wewe utakapoishi nitaishi. Watu wako watakuwa watu wangu, na Mungu wako atakuwa Mungu wangu. 17 Pale utakapofia nami nitafia hapo, na papo hapo nitazikwa. Bwana na aniadhibu vikali, kama kitu kingine chochote kitanitenga nawe isipokuwa kifo."

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Rute
Ver todos os capítulos de Rute