Pular para o conteúdo
Publicidade

Ruthu 1

20 Akawaambia, Msiniite Naomi,1:20 Tazama Rut 1:2. niiteni Mara1:20 Mara: maana yake ni, ‘Uchungu’. kwa sababu Mwenyezi Mungu amenitenda mambo machungu sana. 21 1 Sam 2:7,8;Ayu 1:21Mimi nilitoka nikiwa nimejaa, naye BWANA amenirudisha sina kitu, kwani kuniita Naomi, ikiwa BWANA ameshuhudia juu yangu, na Mwenyezi Mungu amenitesa?

Veja também

Rute
Ver todos os capítulos de Rute