17 Lk 1:58,59Nao wale wanawake waliokuwa jirani zake wakampa jina, wakisema, Naomi amezaliwa mwana; wakamwita jina lake Obedi;4:17 Obedi: Maana yake ni ‘Mtumishi" au "anayehudumu’. yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi.