10 Mt 5:19Maana mtu awaye yote atakayeishika sheria yote, ila akajikwaa katika neno moja, amekosa juu ya yote. 11 Kut 20:13,14;Kum 5:17,18Kwa maana yeye aliyesema, Usizini, pia alisema, Usiue. Basi ijapokuwa hukuzini, lakini umeua, umekuwa mvunja sheria. 12 Yak 1:25Semeni ninyi, na kutenda kama watu watakaohukumiwa kwa sheria ya uhuru.