17 Ebr 12:11Lakini hekima itokayo juu, kwanza ni safi, tena ni ya amani, ya upole, tayari kusikiliza maneno ya watu, imejaa rehema na matunda mema, haina fitina, haina unafiki. 18 Isa 32:17;Mt 5:9Na tunda la haki hupandwa katika amani na wale wafanyao amani.