Uvumilivu katika mateso
7 Kum 11:14;Yoe 2:23;Zek 10:1;Yer 5:24;Lk 21:19;Ebr 10:36Kwa hiyo ndugu, vumilieni, hata kuja kwake Bwana. Tazama, mkulima hungoja mazao ya nchi yaliyo ya thamani, huvumilia kwa ajili yake hata yatakapopata mvua ya kwanza na ya mwisho.