Pular para o conteúdo
Publicidade

Tito 1

6 1 Tim 3:2-7ikiwa mtu hakushitakiwa neno, naye ni mume wa mke mmoja, ana watoto waaminio, wasioshitakiwa kuwa ni wafisadi wala wasiotii. 7 1 Kor 4:1;1 Pet 5:2;2 Tim 2:24Maana imempasa askofu1:7 Askofu: maana yake ni, Mwangalizi. awe mtu asiyeshitakiwa neno, kwa kuwa ni wakili wa Mungu; asiwe mtu wa kujipendeza nafsi yake, asiwe mwepesi wa hasira, asiwe mlevi wala mgomvi, asiwe mpenda mapato ya aibu; 8 bali awe mkarimu, mpenda wema, mwenye kiasi, mwenye haki, mtakatifu, mwenye kudhibiti nafsi yake; 9 Tit 2:1;1 Tim 1:10;2 Tim 4:3akilishika lile neno la imani vile vile kama alivyofundishwa, apate kuweza kuwaonya watu kwa mafundisho yenye uzima, na kuwashinda wenye kupinga.

Veja também

Tito
Ver todos os capítulos de Tito