54 Basi, mwili huu wenye kuharibika utakapojivalia hali ya kutoharibika, na kile chenye kufa kitakapojivalia hali ya kutokufa, hapo ndipo litakapotimia lile neno lililoandikwa: "Kifo kimeangamizwa ushindi umekamilika!"55 "Kifo, ushindi wako uko wapi? Uwezo wako wa kuumiza uko wapi?"
Publicidade
1 Coríntios 15
Veja também
Publicidade