Publicidade

1 Pedro 2

21 Hayo ndiyo mliyoitiwa; maana Kristo mwenyewe aliteseka kwa ajili yenu, akawaachieni mfano, ili muufuate mwenendo wake.22 Yeye hakutenda dhambi, wala neno la udanganyifu halikusikika mdomoni mwake.23 Alipotukanwa yeye hakujibu kwa tukano; alipoteseka yeye hakutoa vitisho, bali aliyaweka matumaini yake kwa Mungu, hakimu mwenye haki.

Veja também

Publicidade
1 Pedro
Ver todos os capítulos de 1 Pedro