Publicidade

1 Timóteo 5

17 Wazee wanaowaongoza watu vizuri wanastahili kupata riziki maradufu, hasa wale wanaofanya bidii katika kuhubiri na kufundisha.18 Maana Maandiko Matakatifu yasema: "Usimfunge ngombe kinywa anapopura nafaka." na tena "Mfanyakazi astahili malipo yake."

Veja também

Publicidade
1 Timóteo
Ver todos os capítulos de 1 Timóteo